Mashabiki wamtolea Uvivu Diamond Baada ya Kupost Selfie akiwa na BOXER
Kwenye
picha hiyo, Diamond aliandika: Straight from the Changing room!…I think
i need to go back to the gym so that i can be more flexible on m 24th
Pre-XMass Parformance in Dar Es Salaam.
Licha
ya kufunika kwa emoji kwenye eneo la sehemu zake za siri, selfie hiyo
imesababisha hisia tofauti huku wengi wakimponda staa huyo kwa kukosa
staha.
Hizi ni baadhi ya comments:
isaac_siame:
@diamondplatnumz sitaki kuamini kama mawaziri kama nape au makamba
watatamani kuja tena wcb kuonana namsanii wa namna hii, hii itakucost au
imekucost tayari @babutale busara zako azijatumika kushauri hii naanza
kuona misingi ya heshima ulioitunza kwa mda mrefu ikipotea
tausizehemasaleh:
You ‘ve a beautiful soul but I think sometimes you go over
board,remember to much is given .much is expected,I respect the path Mom
Tee is taking,don’t neglect her advices,you may need them sometimes,Big
love small bro
yahyakiwera8646:
Nduguyangu nakuusia usidanganyike nahizi like nacomment kumbuka weweni
muislamu nautazikwa kiislamu kuogope mungu kwanza niharamuvhizo tatoo
ukiswali swalazako haziswihii ukiogajanaba halitoki nduguyangu unapotea
HAWA wanao like wote kaburini hatakuwepo utakua pekeyako namatendoyako
iwemazuri au mabaya je utaponaa? Ilahuu WANGU niukumbushotu kwako
nikutakie mabadiliko usijekusema hukuambiwa buree miminisha kuambia
swaum1140:
Mmmm jaman mm hapo hapan nasibu sio nzuri hyo pic kwa kweli kumbuka wew
ni baba now sio pich nzur kumbuka IPO cku tifa ataiona alaf itakua aibu
kubwa uxifany hvy bhana hapo mm sijapenda kabisaaa
ommie_latino26: Bro huo ni ujinga una familia sasa ina maana hapo tiffah aje aone dudu ya baba au



