Breaking News

VIDEO: Msikilize Rais Magufuli Akipiga Marufuku Watu Binafsi Kuuza Sare za Majeshi



Rais Magufuli akizungumza na watumishi wa gereza la ukonga alipotembelea kwa kushtukiza jana. Kapiga marufuku watu binafsi kuuza sare za majeshi