Breaking News

BREAKING NEWS: BASI LAUA WATATU NA KUJERUHI 27...SIKILIZA AUDIO MKUU WA WILAYA YA MBULU AKIELEZEA TUKIO HILO




Taarifa kutoka mkoani Manyara zinaeleza kuwa watu watatu wamefariki dunia na wengine 27 kujeruhiwa baada ya basi la Harmandos kukatika Steering Road na kutumbukia darajani, huko Haydom Mbulu.

Akiongea kwa ufupi na vyombo vya habari,mkuu wa wilaya ya Mbulu, Chelestino Mofuga amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.
Bofya hapa chini kumsikiliza