Leo kupitia U-HEARD yaXXLya Clouds FM Mwimbaji wa nyimbo za Injili Emmanuel Mbasha anadaiwa kuingia kwenye gari ya watu na kupiga picha kisha kupost kwenye mitandao ya kijamii bila ridhaa ya mwenye gari.
Mtangazaji Soudy Brownalipiga story na Mbasha ili kujua ukweli na akajibiwa hivi “Sifahamu
na sijui kitu kama hicho, gari gani? mbona magari ninayopost
yanafahamika ni ya kwangu, yanajulikana ninayomiliki mimi, sina gari
jekundu nililowahi kupost… analalamika kwa lipi au anatafuta kiki?
sifahamu kitu kama hicho.” –Emmanuel Mbasha
Bonyeza Play hapa chini kusikiliza
U-HEARD: MSIKILIZE EMMANUEL MBASHA AKIFUNGUKA KUHUSU KUTUMIA GARI YA WATU.
Reviewed by Unknown
on
6:47 PM
Rating: 5