PICHA:TAZAMA MATUKIO MBALI MBALI PINDI RAIS MAGUFULI ALIPOTEMBELEA OFISI ZA TBC.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokelewa
na
Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt. Harrison George
Mwakyembe
alipotembelea ofisi za Shirika la Taifa la Utangazaji TBC
Mikocheni Dar es salaam na
kuongea na wafanyakazi
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokelewa
na
Mkurugezi Mkuu wa Shirika la Habari na Utangazaji Ayob Rioba
alipotembelea ofisi za
Shirika la Taifa la Utangazaji TBC Mikocheni Dar
es salaam na kuongea na wafanyakazi
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akioneshwa
sehemu
mbalimbali za studio za Redio na Televisheni za Shirika la
Utangazaji la Taifa (TBC)
alipotembelea leo kuangalia uendeshaji wake na
kuongea na watumishi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika moja ya
studio za Televisheni za Shirika la Utangazaji la Taifa
(TBC) na mtangazaji Bi. Asha Haji
alipotembelea kuangalia uendeshaji
wake na kuongea na watumishi


















