TAZAMA PICHA:GARI LA POLISI LANASWA LIKIBEBA MCHANGA MTAANI.
Gari
la Polisi limenaswa na kamera likisomba mchanga ndani ya mji wa
‘maji kasoro bahari’,
Morogoro. Haijajulikana mchanga huo ulikuwa ni wa
nani na ulikuwa unakwenda kufanya
kazi gani na wapi.




