KAMA ULIKUWA HUJUI...SABABU YA MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO KUJIUZULU NGAZI HIYO YATAJWA
Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Stephen Mashishanga amesema
mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro aliyejihuzulu, Saidi Meck Sadiki amesoma
upepo na kuona hawezi kuendana na kasi iliyopo.
"Hoja ya umri mkubwa haina mashiko sana kwani wapo viongozi wenye umri
mkubwa kuliko wake ambao ama waliendelea au wanaendelea kulitumikia
taifa," amesema.
Mashishanga in mmoja wa wanahisa wa Benki ya CRDB anayehudhuria mkutano mkuu wa 22 unaoendelea jijini Arusha.