Jumuiya ya watu wanaouzungumza lugha ya Kiswahili hapa
Uingereza, mwishoni mwa wiki iliyopita imefanya ibada ya shukran
kuadhimisha miaka arobaini tangu kuanzishwa kwa ibada za Kikristo kwa
lugha ya Kiswahili.
Maadhimisho yalihusisha watu wa madhehebu
mbalimbali kutoka Afrika Mashariki na Kati. Kiswahili ni moja ya lugha
rasmi barani Afrika na inakadiriwa, zaidi ya watu milioni mia moja na
thelathini wanazungumza lugha hii duniani.
Zawadi Machibya alihudhuria maadhimisho hayo.
Wakristo waadhimisha miaka 40 ya ibada za Kiswahili Uingereza
Reviewed by Mipiko
on
5:40 PM
Rating: 5