Breaking News

BAADA YA ZARI THE BOSS LADY KUTUA BONGO, MAMA DANGOTE AFUNGUKA MAZITO JUU YA MKWE WAKE HUYO....UBUYU WOTE UKO HAPA CHINI

Ijumaa ya leo imejenga historia ya kipekee baada ya Zari the boss lady kutua hapa bongo baada ya kuikacha Tz kwa kipindi kirefu. Zari ametua hapa nchini kutokea South Afrika huku akipokelewa na mlinzi wa Diamomd (Mwarabufighter).

Baada ya tetesi kuwa Zari na Chibu wameachana hii leo mama Dangote (Sandrah) amefunguka mazito ambayo wengi wetu tulikuwa hatuyafahamu. Mama Dangote kupitia akaunti ya Insta hakusita kudhihirisha furaha yake huku akimhakikishia Zari usalama wote kuhusu makazi.

"South Afrika kwako, Uganda kwako na Tanzania ni kwako pia" aliandika hivo mama Dangote huku akimalizia kwa kumkaribisha nyumabani nyumbani mkwe wake huyo. "Welcome Home mama Tee" alimalizia mama Dangote.