Breaking News

DAVIDO NA UPENDO WAKE KWA CRISTIANO RONALDO 7




Mwanamuziki Davido amezidi kuteka mashabiki wa soka hasa wa Real Madrid kwa kumtaja kiungo machachari wa timu hiyo Cristiano Ronaldo (CR7), kwenye wimbo wake mpya wa ‘Fall’.



Mkali huyo alinayehit kila kukicha amezikonga nyoyo za mashabiki wa timu hiyo ambayo hivi karibuni imetwaa ubingwa wa  Champions League (UEFA).



Ngoma hiyo iliyoipiku  ngoma yake ya “If” imeweza kutazama kwa zaidi mara milioni mbili (2,101,721) kwa mujibu wa mtandao wa YouTube huku ikiwa  ni wimbo namba 19 kutrend katika list ya mtandao huo unaoonesha video.