Msanii wa Bongo Fleva, Jux amehitimu elimu yake ya Chuo Kikuu aliyokuwa akisoma huko nchini China. Hii ni habari njema kwa watanzania wote hususan wapenzi wa muziki.
Tupia neno moja hapa chini kumpongeza kwa hatua hii nzuri.
MSANII JUX AHITIMU MASOMO YAKE YA CHUO KIKUU NCHINI CHINA
Reviewed by Unknown
on
6:35 PM
Rating: 5