May 15, 2017 kwenye mitandao ya kijamii kulisambaa video
iliyomuonesha Askari Polisi akijibizana kwa maneno na Naibu Waziri wa
zamani wa Fedha Adam Malima kabla ya Askari huyo
kufyatua risasi hewani…sasa story ni kuwa leo May 16, 2017 Kamishana wa
Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Simon Sirro ameelezea kuhusu tukio zima na kuwa mwanasiasa huyo amefikishwa mahakamani hii leo.
VIDEO:TAZAMA HAPA KAMANDA SIRRO AKIELEZA KUHUSU ASKARI ALIYEFYATUA RISASI MBELE YA WAZIRI WA ZAMANI ADAM MALIMA.
Reviewed by Unknown
on
5:36 PM
Rating: 5