Breaking News

Mashabiki Wamchana Vikali Linah Baada ya Kuachia Picha hii Mtandaoni



Linah
Linah ambaye anatarajia kumkaribisha mtoto wake wa kwanza hivi karibuni amewaacha wengi wakiongea mitandaoni baada ya kuachia picha ambazo zinaonyesha uchi wa tumbo lake.
Muimbaji huyo aliwaacha wengi kama wamechanganikiwa baada ya rangi yake iligeuzwa na kuwekwa nyeusi huku akikaa nikama amepakwa mafuta mengi mwilini. Mmoja wa mashabiki wake aliandika kusema,
jumalokole2Kwanza najuwaga linna ni mweupe sasa sijui kapakwa nini na tarick,, pili haya mafuta ni ya kula au ya Nazi? . Maana umekandikwa ukakandikika haswaa. Kwani ukivaa dera tumbo halionekani?
Ingawa huu ndio mtindo ambao wanawake wengi wanaiga siku hizi, inaonekana Linah hakufanya inavyotakiwa. Tazama picha hiyo hapa.