VITUKO VYA SHILOLE 'SHISHI BEBE' HAVIISHI....TAZAMA HIKI CHA LEO UTAFURAHI MWENEYEWE.

Hata hivyo, msanii huyu anatamani sana kuolewa kitu ambacho watu wengi hawajui. Akizungumza na Showbiz Xtra hivi karibuni, Shilole alisema kuwa ni wengi ambao wanamtakia mambo mazuri ya ndoa lakini bado anamsubiri yule ambaye mwenyezi Mungu atamletea.
Kwa sasa anaamini kuwa siku yake itafika na ataolewa na kuvaa shela (vazi la mwanamke siku ya ndoa yake) kama bibi harusi wengine wanavyofanya.

“Natamani sana na mimi nivae shela ila naamini wakati bado, najua nitavaa tu na watu wataongea sana maana wengine wanajua siwezi kuolewa ila Mungu atanifanyia wepesi na ndoa yangu itakuwa si ya nchi hii,”?|


