Naibu
Waziri wa Afya, Dkt. Hamisi Kigwangalla, akijibu hoja za wabunge
ameviagiza vyombo vya usalama kumtafuta mtu anayejulikana kwenye
mitandao
ya kijamii kama "James Delicious" kwa kujitangaza kama shoga kinyume
cha sheria na kumfikisha mbele ya sheria kujibu tuhuma za kuendesha
biashara ya kuuza ngono ya kinyume cha maumbile.
KIGWANGALLA AAGIZA KUKAMATWA KWA SHOGA MAARUFU NCHINI,JAMES DELICIOUS
Reviewed by Mipiko
on
8:08 AM
Rating: 5