Gigy Money Ampiga Chini Mo J.......Sasa yeye na Joti ni Mapenzi Mubashara

Inasemekana
Mo J ameshtukia mawasiliano ambayo mwenzake alikuwa akiyafanya na mtu
mwingine ambayo ikapelekea ugomvi hata mmoja kubeba nguo zake, sasa jana
Soudy Brown aliongea nao wote wawili.
"Mbali
na mimi kuwa naye kwenye mahusiano yeye ana mambo yake anayafanya na
alikuwa anayafanya labda amejisikia kumpost Joti au ni mshikaji wake"
Amesema Mo J
"Nimeamua
tu kumpunguza instagram……..kwani Joti hafai kupendwa na Gigy Money na
ninakuambia pale sichomoki na nimefika dada yako, Mo J tushamwagana
kipindi kitaenda tu" Amesema Gigy Money


