Breaking News

Baada Ya Askofu Gwajima kutajwa Kwenye Ishu ya Madawa,Sasa tazama Jinsi alivyoamua Kuvunja Ukimya....Majibu yake ni ya Kidini zaidi



Saa chache baada ya kutakiwa kufika polisi na mkuu wa mkoa kwa kutoa taarifa juu ya madawa ya kulevya,Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima,Josephat Gwajima Amepost Ujumbe picha huu ambao wataalamu wa mambo wanadai kuwa ni kama jibu kwa Mhe Makonda.