Msanii ambaye alianzia katika filamu nasasa anafanya muziki wa bongo fleva Fey, ameachia video mpya ya wimbo “Chozi Langu”, video imeongozwa na Tone Blaze.