Mtoto wa Beckham, Cruz Apata shavu...... Asainishwa na meneja aliyemtoa Justin Bieber
Cruz mwenye miaka 11, ni mtoto mdogo katika watoto watatu wa kiume wa Beckham. Jumatatu hii amefungua akaunti mpya ya Instagram itakayokuwa ikisimamiwa na meneja huyo na tayari ina followers zaidi ya 124.
Kwa mujibu wa TMZ, Scooter ni rafiki wa wazazi wake, David na Victoria, na wanaamini kuwa ni mtu sahihi wa kukuza kipaji chake. Jumatano hii, Cruz ameachia single yake ya kwanza, If Everyday Was Christmas.


