Taasisi ya Mkapa Yashukiwa Neema... yamwagiwa mamilioni Ili kujiendeleza Zaidi

Utiaji saini wa fedha hizo umefanyika leo ubalozi wa Japan jijini Dar es salaam baina ya Balozi Masaharu Yoshida wa Japan na mkurugenzi wa taasisi hiyo Dk. Ellen Senkoro
Balozi Masaharu amesema Japan imetoa msaada huo ili kuokoa maisha ya akina mama wajawazito ambao wamekuwa wakipoteza maisha wakati wa kujifungua.
Dk Senkoro amesema ujenzi wa chumba hicho cha upasuaji utaona maisha ya wajawazito na watoto ambao hulazimika kusafiri kwa zaidi ya kilomita 40 kutafuta huduma ya upasuaji.


