Tizama video Jinsi Mbunge Godbless Lema alivyovuruga hotuba ya RC Gambo
Mbunge
wa Arusha mjini, Godbless Lema amepinga vikali hotuba iliyokuwa
ikisomwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo katika hafla ya uwekaji
jiwe la msingi katika hospitali ya mama na mtoto inayojengwa eneo la
Burka nje kidogo ya jiji la Arusha.
Hayo
yametokea jana Oktoba 18, 2016 ambapo shughuli hiyo ilisimama baada
Lema kuvuruga hotuba hiyo na kuipinga vikali akidai imejaa upotoshwaji
na siasa ndani yake.
Lema
alikuwa akipaza sauti kubwa akisema yeye ndiye aliyetafuta eneo hilo
la ujenzi kutoka kampuni ya Mawala Advocate. Bofya hapa kutazama video



