VIDEO:HIVI NDIVYO RAIS MAGUFULI ALIVYOMPOKEA RAIS WA MISRI HAPA NCHINI NA JINSI MIZINGA ILIVYOPIGWA
Tazama hapa moja kwa moja kutoka uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Rais wa Misri, Abdel Fattah El Sisi alivyowasili Tanzania kwa ziara ya kikazi ya siku mbili ambapo mwenyeji wake Rais Dkt, John Pombe Magufuli pamoja na viongozi mbalimbali wamempokea uwanjani hapo .
Video ya tukio zima iko hapa chini, bonyeza "play" ili kufurahia.