VIDEO:MTAZAME MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO MHE. ANNA MGHWIRA AKIZUNGUMZA BAADA YA KUAPISHWA NA RAIS MAGUFULI

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo
tarehe 06 Juni, 2017 amemuapisha Bibi Anna Elisha Mghwira kuwa Mkuu wa
Mkoa wa Kilimanjaro.
Bibi Anna Elisha Mghwira amejaza nafasi iliyoachwa wazi na Bw. Saidi Meck Sadiki aliyekuwa Mkuu wa Mkoa huo.
>>Mtazame hapa chini akiongea baada ya kuapishwa.
>>Mtazame hapa chini akiongea baada ya kuapishwa.


