Rais John Magufuli avitaka vyombo vya Dola viwahoji watendaji wa serikali walioshiriki kwenye mikataba ya madini tuliyoinga tangu mwaka 1994. Rais Magufuli amesema kuwa watendaji hao walikosa uzalendo kwa kuweka mbele maslahi yao binafsi.