Breaking News

KWA HILI ALILOPOST DIAMOND PLATNUMZ LEO..HAKIKA HAKUNA TENA MAPENZI KATI YAKE NA MREMBO ZARI


Picha inayosambaa Instagram ikionyesha Mrembo Zari Akiwa na Mwanaume Mwingine wakiogelea Swimming Pool Huku Akiwa kashikwa kiono imesababisha Diamond Aandika Haya:



"Ndiomaana wakati mwingine naonaga bora tu nile na kusepa...maana hawathaminikagi wala kuaminika hawa' Ameandika Diamond