Shirikisho la Mpira wa Miguu
Afrika {CAF} jana limetoa orodha ya wachezaji 21 watakaocheza fainali za
vijana chini ya miaka 17 (U17) zinazotarajiwa kuanza kutimua vumbi
mwishoni mwa juma hili huko nchini Gabon.
CAF
imetangaza orodha ya wachezaji 21 kwa kila nchi mshiriki zinazoshiiriki
mashindano hayo yatakayoanza Mei 14-28 nchini Gabon, huku timu nne za
juu zikipata nafasi ya kushiriki Fainali za Kombe la Dunia baadae mwaka
huu nchini India.
MAJINA 21 YA WACHEZAJI WA SERENGETI BOYS WATAKAOSHIRIKI FAINALI ZA GABON YATAJWA.
Reviewed by Unknown
on
7:02 AM
Rating: 5