VIDEO: TAZAMA TUKIO ZIMA LA KUVAMIWA MKUTANO WA CUF

Mkutano huo ulioitishwa na Mwenyekiti wa Chama hicho wilaya ya Kinondoni Juma Mkumbi ambao ulilenga kueleza kuhusu msimamo wao kuhusu mustakabali hicho kutokana na mgogoro uliokuwepo kwenye chama.

Reviewed by Unknown
on
9:08 PM
Rating: 5