Joh
Makini amesema ufananisho huo uko wazi kwa kuwa kiwango cha muziki wake
ni mkubwa kiasi ambacho watu wanaomzunguka na wapenzi wa kazi zake
hawaoni mtu mwingine wa kumfananishia naye isipokuwa msanii huyo kutoka
Ughaibuni.
"Jay Z ni 'role model'
wangu...mimi naimba maisha ya sinoni daraja mbili na Tanzania na Jay Z
anaimba maisha ya Brooklyn na Marekani, nafikiri nipo katika 'level'
ambayo hawaoni mtu mwingine wa kunifananisha naye...Kwahiyo mimi naona
poa kwa sababu kama unanifananisha na Jay z 'yeah i like it' kuliko
ungenifananisha na mtu mwingine". Alisema Joh Makini
Kwa upande mwingine msanii huyo amedai changamoto na vikwazo
anavyokutana navyo katika kufanya kazi zake za kila siku huwa ndiyo
vinamfanya aweze kutengeneza mambo mazuri zaidi.