Haji Manara Alia na Hukumu ya TFF....Tazama Alichokiandika Instagram

Aliyekuwa msemaji wa Klabu ya Simba Haji Manara amelalamikia adhabu aliyopewa na TFF kutokana na kuhukumiwa bila ya kusikilizwa.
Manara aliachia ujumbe huo kwenye akaunti yake ya mtandao wa Picha wa
Instagram jana na kudai kuwa angepewa nafasi ya kusikilizwa

Hata hivyo Kamati ya nidhamu imetoa fursa kwa Manara kukata rufaa kwenda ngazi za juu ikiwa hajaridhika na maamuzi yaliyotolewa.


