Mjukuu wa Rais Donald Trump amedaiwa kupigwa picha wakati
amelala na askari wa Secret Service waliokuwa wamepewa kazi ya kumlinda.
Askari hao walidaiwa kuendesha gari wakiwa na mtoto huyo, Donald
Trump Jr. mwenye miaka 8 tukio hilo lilipotokea. Donald III alikuwa
amelala kwenye gari hilo na askari hao walidaiwa kujipiga selfie na
mtoto huyo.
Kwa mujibu wa Mother Jones walioandika habari hiyo kwa mara ya
kwanza, Don III aliamka akiwa amekasirika na baadaye kuwaambia wazazi
wake. DT Jr. aliripoti jambo hilo kwa Secret Service walioanzisha
uchunguzi.
Msemaji wa Secret Service amesema:
The US Secret Service is aware of a matter involving two
of our agents and one of our protectees. Our Office of Professional
Responsibility will always thoroughly review a matter to determine the
facts and to ensure proper, long-standing protocols and procedures are
followed
Secret Service Matatani kwa Kupiga Selfie na Mjukuu wa Trump
Reviewed by Mipiko
on
8:54 AM
Rating: 5