Bondia kutoka Ufilipino, Manny Pacquiao anatarajia kupambana na Bondia muingereza, Amir Khan ifikapo Aprili 23 mwaka huu.
Pigano hilo litaandaliwa baada ya mashabiki wa Pacquaiao kwenye mtandao wa Twitter
Khana wa umri wa miaka
30 amethibitisha pigano hilo licha ya Pacquaiao kusema kuwa huenda
pigano lake likaandaliwa Milki ya nchi za kiarabu, eneo litakaloandaliwa
bado halijatangazwa.
Akiongea kwa njia ya video Khan anasema Uingereza, Dubai au Marekani ni kati sehemu ambapo pambano hilo litafanyika.
Pigano la mwisho la
Khan lilifanyika mwezi Mei mwaka 2016 wakati alipomshinda kwa Knock out
raia wa Mexico Saul “Canelo” Alvarez.
NDONDI:Many Pacquiao kuzichapa na Amir Khan Aprili 23
Reviewed by Mipiko
on
9:01 AM
Rating: 5