Juzi Jumapili kulikuwa na sherehe ya utoaji tuzo za filamu maarufu kama Oscar
Awards zilizofanyika katika ukumbiwa Dolby Theatre, Hollywood nchini
Marekani. Baadhi ya picha kwenye tukio hilo la utoaji tuzo
Habari Picha: Utoaji wa tuzo za Oscar 2017
Reviewed by Mipiko
on
7:00 AM
Rating: 5