AFANDE SELE ATOA NENO KUHUSIANA NA MKAKATI WA MAKONDA KUTOKOMEZA MADAWA YA KULEVYA

Afande
Sele ni miongoni mwa wasanii wa siku nyingi Tanzania ambao wamekua
wakifatilia pia na ishu za siasa na mengine yanayoendelea ambapo leo hii
ameandika kuhusu ishu ya dawa za kulevya iliyotangazwa na mkuu wa
mkoa Paul Makonda.
Afande ameandika "Katika
hili sakata la MAPAPA na MAPUNDA ya Unga kama kweli braza Paul yupo
serious na sio ‘Matango Pori’kama tulivyoona ktk masakata mengine,huenda
hata wale WASAFI wakaonekana wachafu…kila la kheri Mr Paul….RiP Da
Amina…wacha parry ianzeee"



