| Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akijadiliana jambo na Rais wa Rwanda Paul Kagame wakati wakielekea
katika Kituo cha Amani na Usalama cha Makao Makuu ya Umoja wa Afrika
kilichopewa jina la Rais wa kwanza wa Tanzania Mwalimu Julius Nyerere,
Addis Abba nchini Ethiopia. |