Breaking News

Video MPYA.....Matonya Ametuletea hii– Hakijaeleweka


Msanii kutoka Tanga, Seif Shaaban maarufu kama Matonya ambaye ametuletea video yake mpya wimbo unaitwa ‘Hakijaeleweka‘, humo ndani ameonekana mrembo Gigy Money, Video imeongozwa na Tone Blaze.