Breaking News

Video Joti... alivyoirudia Muziki ya Darassa kwa kuifanyia hii video

Msanii wa vichekesho Bongo, Joti ameurudia wimbo wa Darassa ‘Muziki’ ambao kwa sasa unafanya vizuri kwenye vituo mbalimbali vya redio na runinga.+