Hatarii:Dada wa Diamond Platnumz afunguka kuwa huwa hatongozwagi bali huwa anatongoza..!!!

MWANAMUZIKI ambaye ni memba wa Kundi la WCB, Mwanaisha Abdul ‘Queen
Darleen’ aliye pia dada wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ ametoa
kali ya mwaka baada ya kufunguka kuwa katika mapenzi kitu ambacho
hakipendi ni kutongozwa na mwanaume hivyo huwa anapenda kutongoza.
Akistorisha na Mikito Nusunusu Darleen,
alisema kitendo cha yeye kumtongoza mwanaume anaamini kwamba anakuwa
amempenda kutoka ndani ya moyo wake lakini akitongozwa wakati mwingine
wanaume wanakuwa ni waongo hawana nia ya dhati.


