Alikiba atoa ratiba ya ziara yake ya Ulaya mwaka huu....Ni kuanzia Mwezi Juni na kuendelea
Kama tulivyoripoti Jumatatu hii kwamba mwaka huu Ali ameamua kuzichukua fedha zake, na sasa ametangaza ratiba ya awali ya ziara yake ya kimataifa barani Ulaya.
Nchi zenye bahati hiyo hadi sasa ni Ufaransa, Ujerumani, Ubelgiji, Switzerland, Sweden na Uholanzi na ataanza kuzunguka huko June na July.


