Video;YOUNG Dee: Tunda ni Mpenzi Wangu na Hatujawahi Kuachana

Msanii Young Dee amedai Tunda ni mpenzi wake na hawajawahi kuachana, pia
amesema anampga ushauri wa kumbadilisha kwenye maisha ndio maana
anapagawa naye sana
MTAZAME HAPA:

Reviewed by Mipiko
on
5:54 PM
Rating: 5