Video: Raisi Barack Obama akiimba Jinge Bells na Chance The Rapper White House

Chance The Rapper amefanya weekend imekua yakiroho katika ikuru ya Marekani (White House) katika sherehe yakuwasha mti wa Krismas ya 94 katika nchi ya Marekani iliyo fanyika alhamisi ya desemba moja.
Chance the Rapper alikua akisaidiwa na Kwaya ,Nico “Donnie Trumpet” Segal, na wageni walikuwepo wakiufuatisha.


