KINANA AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA SWEDEN JIJINI DAR ES SALAAM

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha, Balozi wa Sweden hapa nchini Katrina Rangnitt, kwa ajili ya mazungumzo, Ofisin kwake, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, jana

Katibu wa NEC, Siasa na ushirikiano wa Kimataifa, Dk Pindi Chana akimsalimia Balozi wa Sweden hapa nchini Tanzania, Katrina Rangnitt, kabla ya Balozi huyo kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (katikati), katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, jana

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Sweden hapa Nchini Tanzania, Katrina Rangnitt, Ofiini kwake, katika Ofisi Ndogo ya makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, jana

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Sweden hapa Nchini Tanzania, Katrina Rangnitt, Ofiini kwake, katika Ofisi Ndogo ya makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, jana. Kulia ni Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Pindi Chana


