| Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani ambaye pia
ni Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad
Masauni(wapili kulia), Katibu wa baraza hilo ambae pia ni Kamanda wa
Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Mohamed Mpinga(kulia) na
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya matairi ya Superdoll, Seif Seif(wapili
kushoto), wakimsikiliza Msimamizi wa Kituo baada ya uzinduzi wa kituo
kinachotoa huduma za magari upande wa matairi, Paul Kusoga wakati akitoa
maelezo ya jinsi ya kulichunguza tairi kutumia mfumo wa
komputa.Uzinduzi huo ulifanyika jana Magomeni Usalama, Dar es Salaam.
(Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi) |