Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Shein, Awasili Mwanza Mchana Huu Kuelekea Simiyu katika Sherehe za Kilele za Mwenge wa Uhuru Kuzimwa Kesho.

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe,John Mongela mara alipowasili
katika uwanja wa ndege wa Mwanza akielekea katika Mkoani Simiyu
kushiriki sherehe za uzimaji mbio za Mwnge wa Uhuru Kitaifa
zinazotarajiwa kufanyika kesho



