Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais IKULU Asema Taarifa Hii Inayosambazwa Mitandaoni ni ya UONGO, Ipuuzwe

Hii
Taarifa (katika picha) inasambazwa mitandaoni kwamba Imetoka
IKULU. Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais ,Gerson Msigwa kasema ni
ya uongo, imetengenezwa na watu wenye nia ovu hivyo ipuuzwe
Taarifa hii ipuuzeni— Gerson Msigwa (@MsigwaGerson) October 19, 2016
Imetengenezwa na wahalifu. pic.twitter.com/A3N7RcEu7v


