Jumanne hii imekuwa mbaya kwa rapper wa Kenya, King Kaka
aka Kaka Sungura baada ya kujikuta akiangukia mikononi mwa polisi wa
mjini Nairobi. Mpaka sasa bado haijajulikana chanzo cha kukamatwa kwa rapper huyo. Tazama picha zaidi hapa chini.
Picha: Rapper wa Kenya, King Kaka akamatwa na polisi mjini Nairobi
Reviewed by Mipiko
on
7:17 PM
Rating: 5