MKE WA STEVE NYERERE AZUNGUMZIA KUHUSU KUNYANG'ANYWA MUME
Mke wa mchekeshaji steve Nyerere amezungumzia kuhusu dada mmoja wa bongo
movie kunyang'anya mume wake na kudai kuwa steve ataenda popote lakini
atarudi tu kwa kuwa yeye ana watoto wake, amesema kuna wadada wenye
maisha magumu wanataka kuwa na maisha bora ndio maana wanamsumbua sana
mumewe lakini kamwe hawatakuwa naye na hana wasiwasi



