Breaking News

NAIBU WAZIRI WA ELIMU MHANDISI STELLA MANYANYA ALIVYO FUNGUA KONGAMANO LA MAADHIMISHO KUMBUKIZI YA MWALIMU JULIUS NYERERE




 Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Mhandisi Stella Manyanya (kulia), akihutubia wakati alipokuwa akifungua kongamano la maadhimisho ya kumbukizi ya Mwalimu Julius Nyerere lililofanyika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni  Dar es Salaam jana.
 Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Mhandisi Stella Manyanya (katikati), akisalimiana na wafanyakazi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere alipokuwa amewasili kwenye kongamano la maadhimisho ya kumbukizi ya Mwalimu Julius Nyerere lililofanyika chuoni hapo Dar es Salaam jana. Kushoto ni mkuu wa chuo hicho, Profesa Shadrack Mwakalila. Manyanya alikuwa mgeni rasmi katika kongamano hilo.
 Mgeni rasmi wa kongamano hilo Mhandisi Stella Manyanya (wa tatu kulia waliokaa), akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali walioshiriki kwenye kongamano hilo. Kutoka kushoto ni

  Mwanasiasa Wilson Mkama akitoa mada kwenye kongamano hilo.

 Taswira ya ukumbi katika kongamano hilo.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Foundation, Joseph Butiku akitoa mada kwenye kongamano hilo.



Wimbo wa Taifa ukiimbwa.


Mwenyekiti wa kongamano hilo, Spika wa Bunge mstaafu, Anna Makinda akizungumza kwenye kongamano hilo.
 wadau mbalimbali wakiwa kwenye kongamano hilo. Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Philipo Mangula akitoa mada kwenye kongamano hilo.



Kongamano likiendelea.


Mkuu wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Profesa Shadrack Mwakalila, akizungumza kwenye kongamano hilo. Kongamano hilo liliandaliwa na chuo hicho.



 Waalikwa wakisikiliza wakati mada zikiendelea kutolewa.

 Mgeni rasmi Mhandisi Stella Manyanya (katikati walio kaa), akiwa katika picha ya pamoja na wageni waalikwa.