Madereva wa malori wa Tanzania na Kenya waliotekwa DR Congo waokolewa.
Madereva wa malori kutoka nchini Tanzania waliokuwa
wametekwa katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo hatimaye
waokolewa na vikosi vya jeshi la nchi hiyo.
Hayo ni kwa mujibu wa waziri wa mambo ya ndani wa nchi hiyo ambaye ameiambia BBC kuwa wote wapo salama.
Mwandishi wa BBC wa eneo la mashariki mwa Congo Byobe Malenga ana taarifa zaidi.BBC