Katika tuzo za AEAUSA kwa kirefu (African Entertainment Awards USA) ambazo tayari zimefanyika tayari wasanii wa kitanzania wanne wamefanikiwa kutwaa tuzo.
Mbali na wasanii hao wa Kitanzania kushinda tuzo lakini pia kuna wasanii kutoka katika nchi za Afrika Mashariki waliofanikiwa kushinda tuzo. Wasanii waliofanikiwa kushinda tuzo ni pamoja na Diamond Platnumz ambaye ameshinda tuzo mbili, ikiwemo tuzo ya Msanii bora wa mwaka ( Best artist of the year pamoja na Best Collaboration akishirikiana na Omarion kutoka nchini Marekani.
Msanii Nandy ameshinda katika kipengele cha Best Female Single kupitia wimbo wa Kivuruge, huku Rayvanny akishinda tuzo ya Best Vocalist na Dj wa Diamond Rom Jones akishinda tuzo ya best DJ in Africa.
2018 Winners
Best Male Single Davido – If Best male Artist year Diamond Platnumz Best Male Palop Artist Preto Show Best New Artist Curr3ncy Best Francophone Artist X Maleya Best Dancer/ Groups Habibu Bajuni Best Comedian Eric Omondi Best Blogger Tunde Ednut Promising Local Artist Chief Dejjy Best Female Central/West Africa Seyi Shay Best Single Female Nandy-Kivuruge Video of the Year Morachi; Kakalo Best collaboration Diamond Platnumz ft Omarion African beauty Best Hip Hop Artist Stanley Enow Best Gospel Annisstar Arning Best DJ RJ The Dj Best Producers Ilblackbeat Best Male Central/West Africa Morachi Best FeMale East/South/North Africa Kenza Morsli Best Francophone DJ USA Dj Biran Female Artist of the Year Yemi Alade Best Duet X-Maleya Best Female Palop Artist Yola Araujo Best Caribbean Artist Kes The Band Best Vocalist Rayvanny Best Dancehall Shatta Wale Best Upcoming Artist Etoo Tsana Best Promoter Guyzell Best Designer Dangamacin clothinh USA
Hottest groupSauti sol
Diamond, Nandy na wengine kutoka Tanzania, watikisa tuzo za AEAUSA 2018
Reviewed by Baraka
on
9:00 AM
Rating: 5