Breaking News

UMESIKIA ALICHOKISEMA RUGE KUHUSU NDOA YA ZAMARADI MKETEMA??BOFYA HAPA UJIONEE UBUYU WOTE

Kumekuwa na maneno mengi kwenye mitandao kuhusiana na ndoa ya Zamaradi Mketema, mama wa watoto wangu Russell (Juhjuh) na Shubi. Taarifa ya ndoa nilikuwa nayo na namtakia kila LA heri kwenye safari yake mpya. Pamoja na kuheshimu Uhuru wa vyombo vya

habari natoa ufafanuzi huu ili kulinda maslahi ya watoto wetu ambao wanachohitaji ni amani na furaha ya wazazi wao.

#sinasocialmediaaccount
Ruge Mutahaba.